UONGOZI MPYA WA CHAMA 2016/17

Japhet Mukala -Mwenyekiti wa chama

Johanes Mujuni-Makamu mwenyekiti

Denice Kahangwa-Katibu mkuu wa chama

Nelson Ntoroma-Naibu Katibu mkuu

Elizeus Izoba-Mweka hazina wa chama

Agnetha Byashalila- Muweka hazina msaidizi

Hamidu Mabaraza-Msemaji mkuu wa chama

Thursday, June 9, 2011

NANI ANAYEWEZA KUWA MWANACHAMA

2.1.Mwanachama-ni mtu ambaye ni mwenyeji na mzaliwa wa Kanyigo aliyetimiza miaka kumi na nane na kuendelea (18+) na awe ametimiza masharti na matakwa ya chama ikiwa ni pamoja na kulipa kiingilio kilichoridhiwa na wanachama kwa ujumla wao. Ada kwa sasa ni Tzs 20,000.00/= na bado mwanachama mpya atakuwa chini ya uangalizi kwa kipindi cha miezi sita!