UONGOZI MPYA WA CHAMA 2016/17

Japhet Mukala -Mwenyekiti wa chama

Johanes Mujuni-Makamu mwenyekiti

Denice Kahangwa-Katibu mkuu wa chama

Nelson Ntoroma-Naibu Katibu mkuu

Elizeus Izoba-Mweka hazina wa chama

Agnetha Byashalila- Muweka hazina msaidizi

Hamidu Mabaraza-Msemaji mkuu wa chama

Friday, March 22, 2013

SALAM ZA POLE KWA WANACHAMA.

Habari zenu wanafmilia,

Kwa niaba ya chama napenda kuchukua fursa hii kutoa salam za pole kwa ndugu zetu watatu waliopatwa na matatizo katika kipindi cha miezi miwili iliyopita
1. Nampa pole bwana Suraiti Kabaju kwa kuondokewa na bibi yake (MAZAINABU KABAJU) kama wanafamilia naomba tuungane kumfariji ndugu yetu Kabaju kwa matatizo haya,
2.Napenda kutoa pole sana kwa ndugu yetu bwana Kweyamba kwa kuondokewa na Baba yake mzazi, ni wajibu wetu kumfariji katika kipindi hiki kigumu sana kwake, Yote tunamwachia Mwenyezi mungu muumba wa yote.
3.Napenda kutoa pole kwa ndg yetu Bwana Jackson Mpembwe anayeuguliwa na mke wake, kwa pamoja tumkumbuke kumuweka kwenye sala na swala katika kipindi hiki kugumu kwake. Mungu huwa mwema siku zote, nina imani atamsimamia.

imetolewa na japhet Mukala.

No comments: