Sisi kama chama, nia na madhumini hasa ni kuhakikisha malengo ya chama kama yalivyoainishwa kikatiba yanatimia, sisi kama sisi hatuwezi bila michango ya mbalimbali ya wadau!njoo ujiunge na sisi, njoo ujifunze na sisi kwani naamini mikusanyiko yetu ni moja ya madarasa ya kijamii! tunapatikana kwa http://www.vijanakanyigo.blogspot.com/ au facebook .ni. vijana kanyigo na email yetu ni vijanakanyigo2011@yahoo.com .tunawakaribisha sana na tunakaribisha mawazo yenu.
by japhet mukala-mwenyekiti wa chama.
by japhet mukala-mwenyekiti wa chama.
1 comment:
mwanzo mzuri sana na matunda yake nina imani yataoneka mda si mrefu cha msingi ni uvumilivu.
hecko vijana wa kanyigo.
Post a Comment